Corporate Gifts: Siri ya Wateja Wanaorudi
Zawadi ya brand inafanya zaidi ya kutoa furaha — inafanya watu wakumbuke kampuni yako kila siku wanapoitumia.
Kwa Nini Zawadi Zifanye Kazi?
Mtu anayepata zawadi ya kampuni anaikumbuka mara 6 zaidi kuliko mtu aliyeona tangazo tu. Notebook yenye logo yako itakuwa mezani mwa mteja kwa miaka.
Bidhaa Zinazofanya Kazi Zaidi
Pens za Metal: Bei nafuu, zinabebwa kila mahali. MOQ 50pcs.
Notebooks: Zinatumika kila siku. A5 Hardcover, kurasa 200.
Mugs za Ceramic: Zipo mezani kwa miaka. Kila asubuhi, logo yako inaonekana.
Umbrellas: Zinaonekana nje — advertising ya bure kwa kila mvua.
Wasiliana na DP Promotions kwa orodha kamili ya bidhaa: +255 711 800 400.